Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rostam mmiliki mpya wa ndege za Coastal

Rostammpiic Rostam mmiliki mpya wa ndege za Coastal

Tue, 20 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ushindani katika sekta ya usafiri wa anga unatarajiwa kuongezeka nchini baada ya mfanyabiashara Rostam Aziz kuingia kwenye sekta hiyo akiwa na lengo la kufanya makubwa.

kupitia kampuni ya Taifa Aviation, mfanyabiashara huyo amenunua asilimia 51 ya hisa za Coastal Travels Company Limited kutoka kwa mwekezaji wa Kiitaliano mwenye asili ya Marekani, Carolina Colangelo.

Ununuzi huo wa hisa umemfanya Rostam kuwa mwekezaji mkuu wa shirika hilo la ndege kuanzia Septemba mosi, 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live