Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo alivyoipa Coca-Cola hasara ya Tsh bilioni 4

Ronaldo Mzsz.jpeg Ronaldo alivyoipa Coca-Cola hasara ya Tsh bilioni 4

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mcheza mpira bora wa dunia Cristiano Ronaldo aliipatia hasara kubwa kampuni ya Coca-Cola mwaka 2020 kilichofanya kampuni hio kupata hasara ya hadi Billion 4 baada ya mchezaji huyo kutoa chupa za Coca-Cola kwenye meza alipokuwa anafanyia mahojiano na kuweka pembeni na kuchukua chupa ya maji.

Mcheza mpira bora wa dunia Cristiano Ronaldo aliipatia hasara kubwa kampuni ya Coca-Cola mwaka 2020 kilichofanya kampuni hio kupata hasara ya hadi Billion 4 baada ya mchezaji huyo kutoa chupa za Coca-Cola kwenye meza alipokuwa anafanyia mahojiano na kuweka pembeni na kuchukua chupa ya maji. Tukio hili lilitokea kipindi cha kuelekea michuano ya ufunguzi EURO Kati ya Portugal na Hungary, kampuni ya Coca-Cola ukipata hasara kubwa sana na cha ajabu ni ronaldo hakuongea lolote kuhusu hilo na hakuna mashtaka yeyote juu yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live