Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia kafika kwenye kiwanda cha kuunda Magari ya Volks Wagon

PICHA YA RAIS SAMIA Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Tue, 3 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan ametembelea kiwanda cha kisasa cha magari aina ya Volkswagen nchini Rwanda, chenye uwezo wa kutengeneza magar yenye miundo 6 tofauti.

Rais Samia Suluhu Hassan ametembelea kiwanda cha kisasa cha magari aina ya Volkswagen nchini Rwanda, chenye uwezo wa kutengeneza magar yenye miundo 6 tofauti. Mapema jana rais Samia aliwasili nchini humo kwa ziara yake ya kikazi, ambapo leo anatarajiwa kurudini nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live