Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prof. Ndalichako aiwakilisha Tanzania ILO

3160d1826722c50ac70be9a9fe066e33 Prof. Ndalichako aiwakilisha Tanzania ILO

Sat, 11 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkutano wa 110 wa Kimataifa wa Shirika la Kazi duniani unaendelea katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa - Geneva. Majadiliano katika Mkutano siku ya leo yanahusu jinsi gani nchi zinapambana na changamoto za kiuchumi.

Mkutano wa 110 wa Kimataifa wa Shirika la Kazi duniani unaendelea katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa - Geneva. Majadiliano katika Mkutano siku ya leo yanahusu jinsi gani nchi zinapambana na changamoto za kiuchumi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakilishwa na Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu( KVAU) na Balozi Wa Tanzania nchini Uswisi Balozi Maimuma Tarishi, pamoja nao wameambatana na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi( TUCTA ) Tumaini Nyamhokia na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Waajiri Tanzania, Suzanne Ndomba

Chanzo: www.tanzaniaweb.live