Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ambae Pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Kilimo Tanzania amewasihi Vijana kuitumia Fursa ya Uwezeshwaji unayofanywa na Serikali kwenye Sekta ya Kilimo ili kujikwamua kiuchumi katika kuendesha Maisha yao na Kuongeza Pato la Taifa.
Ameyasema hayo Mara baada ya Kutembela na kukagua Maendeleo ya Mpango wa Mifugo bora kwa Maisha bora na Fursa za ajira kwa Vijana katika Vituo vya Taliri, Buhuri na TALI vilivyopo Jijini Tanga.
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Peter Pinda ambae pia ni Mwenyekiti wa baraza la Ushauri la Kilimo Tanzania yupo Mkoani Tanga katika Ziara yake ya kikazi.