Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Parachichi kuuzwa Afrika Kusini

4cac7262f925433fd66f5342bcd05937 Parachichi kuuzwa Afrika Kusini

Tue, 3 Aug 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Naibu waziri wa Kilimo Hussein Bashe amsema kuanzia msimu huu Mazao ya Parachichi yanayozalishwa hapa nchini yataanza kuuzwa katika soko la Afrika Kusini.

Naibu waziri wa Kilimo Hussein Bashe amsema kuanzia msimu huu Mazao ya Parachichi yanayozalishwa hapa nchini yataanza kuuzwa katika soko la Afrika Kusini. Bashe amesema, taratibu zinaendelea vizuri na kwamba msimu huu, mazao hayo yataanza kuuzwa nchini humo licha kwamba hapo awali yalizuiliwa kuuzwa katika soko hilo

Chanzo: www.habarileo.co.tz