Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PPRA yazitaka taasisi za umma kujiandaa na NeST

PPRA MANUNUZI (600 X 509) PPRA yazitaka taasisi za umma kujiandaa na NEST

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MAMLAKA ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imeziagiza taasisi za umma kuhakikisha watumishi wote wanaohusika na ununuzi wamepatiwa mafunzo ya namna ya kuutumia mfumo mpya wa ununuzi “National e-Procurement System of Tanzania” (NeST).

Agizo hilo limetolewa na PPRA kupitia taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo hivi karibuni, ambapo taarifa hiyo imesema kuwa, taasisi za umma zinawajibu wa kuhakikisha watumishi wote wanaohusika na ununuzi wamepatiwa mafunzo.

Aidha, taasisi hizo zimetakiwa kuhuisha watumiaji kwa wakati pindi wanapoondoka kwenye taasisi kwa sababu yoyote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live