Menu ›
Biashara
Fri, 21 Jun 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Saad Mtambule, ameongoza operesheni maalumu kusaka vinywaji feki hususan vile visivyo na stempu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Saad Mtambule, ameongoza operesheni maalumu kusaka vinywaji feki hususan vile visivyo na stempu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Operesheni hiyo kabambe imeshirikisha maofisa wa TRA kutoka Mikoa ya Kikodi wilayani humo ambapo amewataka wafanyabiashara kuanza kuchunguza vinywaji walivyonavyo kabla ya rungu zito kuwashukia.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live