Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ni madudu matupu kivuko cha Kigogo Busisi Mwanza- VIDEO

Busisi (600 X 338) Ni madudu matupu kivuko cha Kigogo Busisi Mwanza

Thu, 23 Mar 2023 Chanzo: mwanachidigital

Imebainika kuwa Serikali hupoteza mapato kwenye baadhi ya masoko na vituo vya kukusanyia ushuru kutokana na usimamizi na mifumo mibovu iliyopo kwenye maeneo hayo.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) mkoani Mwanza, James Ruge amesema katika ufuatiliaji wa taasisi hiyo uliofanyika katika kipindi cha miezi mitatu kuazia Oktoba hadi Disemba 31, 2022 mkoani humo wamebaini upotevu mkubwa wa mapato ya serikali inayosababishwa na mifumo mibovu.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: mwanachidigital