Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Netflix yaporomoka vibaya sana

Netflix G.jpeg Netflix

Mon, 25 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya NETFLIX Imetangaza kupoteza Wateja 200,000 kutokana na ushindani wa kampuni kama HBO Max na Disney+ na wateja wengine 700,000 baada ya kusitisha huduma zao nNchini Urusi kutokana na kuunga mkono kwa vikwazo dhidi ya nchi hio sababu ya vita vyake dhidi ya Ukraine.

Netflix pia imesema wateja wengi wamepungua sababu watu wamerudi kazini baada ya janga la Corona kupungua, pamoja na tatizo la wateja kuShare password na watu tofauti.

Wall Street iliripoti kuwa hisa za Netflix zimeshuka na kupunguza thamani ya sokoni ya Brand hio. CEO Wa Netflix, Reed Hastings amesema; “Tuna mpango wa kutoa huduma ya bei nafuu zaidi na patakuwa na matangazo ingawa mimi sio mpenzi wa kuweka matangazo kwenye huduma yetu, mimi ni mpenzi wa chaguo la mteja".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live