Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NMB benki bora Tanzania 2023

NMB NMB NMB benki bora Tanzania 2023

Wed, 2 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Benki ya NMB imeunukiwa tuzo tatu za kimataifa na Majarida ya Kimataifa yenye makao makuu yake London Uingereza ambapo Tuzo hizo ni Benki Bora Tanzania 2023 (kutoka Tuzo za Umahiri za EuroMoney), Benki Bora ya Wateja Maalum (Kutoka Tuzo za Umahiri za EuroMoney) huku Tuzo ya tatu ikiwa ni Benki Bora ya Wateja Binafsi na Biashara (Kutoka Tuzo za Global Banking and Finance Review).

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bibi Ruth Zaipuna leo amezitambulisha rasmi Tuzo hizo katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi za Makao Makuu ya @nmbtanzania Jijini Dar es salaam na kuzungumza yafuatayo.

“Hii ni mara ya 10 Benki ya NMB kutambulika kama Benki Bora nchini ndani ya miaka 11 iliyopita, ikidhihirisha ufanisi wetu wa kiutendaji, mapinduzi ya kiteknolojia na ubunifu, uongozi dhabiti, na uimara wetu katika kuleta masuluhisho yanayomgusa kila Mtanzania” ---- Ruth Zaipuna.

“Tunawashukuru Wateja wetu, wanahisa, Wafanyakazi, Benki Kuu, Serikali pamoja na Wadau wetu wote kwa kuendelea kutuamini na kutufanya kuwa Benki Bora nchini, endelea kufurahia huduma za Benki ya NMB kwani

Chanzo: www.tanzaniaweb.live