Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NBS: Mfumko wa bei ni asilimia 4.8

Mfumuko Beii Majaliwa NBS: Mfumko wa bei ni asilimia 4.8

Fri, 10 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Februari mwaka 2023 umeshuka kidogo hadi asilimia 4.8 kutoka asilimia 4.9 kwa mwaka ulioishia mwezi Januari mwaka 2023.

Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Februari mwaka 2023 umeshuka kidogo hadi asilimia 4.8 kutoka asilimia 4.9 kwa mwaka ulioishia mwezi Januari mwaka 2023. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imeeleza kuwa kupungua kwa mfumuko huo wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Februari, 2023 kumechangiwa na kupungua kwa mfumuko wa bei kwa bidhaa za vyakula na bidhaa zisizo za vyakula kwa kipindi cha mwaka ulioishia mwezi Februari mwaka 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live