Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee Mengi afungua pazia la kuchukua hati mpya ya kusafiria (Video)

Fri, 2 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi pamoja mke wake, Jacqueline Mengi Ijumaa hii wamefungua pazia la kuchukua hati mpya za kusafiria za kielekroniki ikiwa ni siku chache toka Rais John Pombe Magufuli azindue mradi huo mpya. Hati hiyo amekabidhiwa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Anna Makakala.

Mzee Mengi alisema hati hiyo ni mzuri na itaondoa usumbufu ambao ulikuwa ukijitokeza pale Mtanzania anapopata matatizo akiwa nje ya nchi.

Chanzo: bongo5.com