Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwambe ataja sababu za upungufu wa Mafuta ya Kula

3454c14edb4a97907f65e60a4b7dad85 Mwambe ataja sababu za upungufu wa Mafuta ya Kula

Wed, 27 Jan 2021 Chanzo: habarileo.co.tz

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe amesema ukosefu wa mafuta ya kula nchini umesababishwa na upungufu katika uzalishaji mbegu za mafuta ya kula hivyo kulazimika kutegemea mafuta kutoka nje ya nchi.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe amesema ukosefu wa mafuta ya kula nchini umesababishwa na upungufu katika uzalishaji mbegu za mafuta ya kula hivyo kulazimika kutegemea mafuta kutoka nje ya nchi. “Ni vema pia ieleweke bei ya mafuta ya kula yanayoingizwa nchini kutoka nje, inategemea soko la dunia na garama zingine ikiwemo usafirishaji,” amesema Mwambe

Chanzo: habarileo.co.tz