Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mradi wa Morocco Square kuingiza Sh850 milioni kwa mwezi

Morocco1 Square Mradi wa Morocco Square kuingiza Sh850 milioni kwa mwezi

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirika la nyumba la Taifa (NHC) limesema litakuwa likitengeza Sh850 milioni kila mwezi kutoka katika mradi wale wa 'Moroco Square'

Akizungumza na Wahariri na waandishi wa habari leo Agost 3, 2023; Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Hamad Abdullah, amesema pesa hiyo itatokana na kodi za wapangaji wa hoteli na maduka.

Abdullah amesema mradi huo tayari umekamilika kwa asilimia 97 na tayari umeshapata wapangaji na wanunuzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live