Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mnada wa magari 140 ya TRA yaliyotelekezwa bandari umefanyika leo

1121 Magar 660x400 TZW

Fri, 5 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 4, 2018 Mamlaka ya Mapato Tanzania kupitia kampuni ya Yono Auction Mart leo January 4 2018 imeendesha mnada wa magari 140 yaliyotelekezwa bandarini.

Akizungumza na AyoTV Mkurugenzi wa Yono, Scolastica Kevera amesema “Watu kutoka maeneo mbalimbali wamejipatia magari kwa bei wanazotaja wao, leo tumenadi magari zaidi ya 140, tutahakikisha kila mmoja anapata haki yake kadri ya bei aliyokuja nayo, kazi yetu Yono ni kutenda haki.”

BREAKING: Benki Kuu ya Tanzania imezifungia benki tano

Chanzo: millardayo.com