Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miundombinu SGR kuendelea kujengwa

SGR 1 Miundombinu SGR kuendelea kujengwa

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali imesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025 itaendelea na ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kwa maeneo mengine ya Ushoroba wa Kusini na Kaskazini.

Serikali imesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025 itaendelea na ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kwa maeneo mengine ya Ushoroba wa Kusini na Kaskazini. Kauli hiyo ya Serikali imetolewa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa wakati akisoma bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live