Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Millard Ayo na Washindi wa MILIONI 10 za TATU MZUKA

1463 Screen Shot 2018 01 17 At 11.59.49 AM 660x400.png

Thu, 18 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mmoja ni House Girl wa Temeke Dar es salaam na mwingine ni muuza matunda wa Buza Dar es salaam, wote hao kila mmoja amejishindia MILIONI 10 katika zile MILIONI 10 zinazotafutiwa Mshindi kuanzia Jumatatu mpaka Jumamosi.

Tanzania imeendelea kushuhudia Watu wakijishindia mamilioni kila siku ambapo TATU MZUKA imekua bahati nasibu ya kwanza Tanzania kutoa pesa nyingi kila siku tofauti na zamani tulizoea kuona wengine wakifanya mara moja kwa wiki.

Kwenye mamilioni yanayotolewa kila siku ukiachia MILIONI 6 zinazotolewa kila saa kila siku, kuna MILIONI 10 ambayo kila siku lazima ipate mshindi huku Jumapili hii ikifanyika Jackpot kubwa ya MILIONI 80.

Unaweza kujinyima kunywa soda kwenye mlo mmoja alafu ukaitumia hiyo SHILINGI MIA TANO kujaribu bahati yako, nenda kwenye simu yako kisha Tuma kuanzia Shilingi 500 hadi Elfu 30 kwenda kwenye namba ya kampuni 555111 kisha weka namba zako 3 za bahati zikiambatana na neno AYO.

Chanzo: millardayo.com