Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mikataba ya madini kuwekwa hadharani

Vibali Madini (600 X 303) Mikataba ya madini kuwekwa hadharani

Mon, 29 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiluswa amesema mpaka kufikia mwezi October 2023, mikataba yote ya madini itawekwa hadharani ili kutii matakwa ya mikataba ya Taasisi ya kimataifa ya EIT.

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiluswa amesema mpaka kufikia mwezi October 2023, mikataba yote ya madini itawekwa hadharani ili kutii matakwa ya mikataba ya Taasisi ya kimataifa ya EIT. Dkt. Steven Kiluswa ameyasema hayo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha waswali na majibu wakati akijibu swali la mbunge wa chadema viti maalumu Jesca Kishoa pamoja na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina waliohoji ni lini serikali itaweka sazi mikataba hiyo ili kutii matakwa ya Taaisisi ya Kimataifa ya EIT

Chanzo: www.tanzaniaweb.live