Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Migogoro ya Kampuni itatuliwe kwa kufuata kanunia na sheria" Waziri Kitila Mkumbo

5940 KITILA Mkumbo "Migogoro ya Kampuni itatuliwe kwa kufuata kanunia na sheria" Waziri Kitila Mkumbo

Thu, 22 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof.Kitila Mkumbo amewataka Watumishi wa umma nchini wanaoshughulika na Biashara waache kudhibiti Biashara bali wawezeshe Biashara.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof.Kitila Mkumbo amewataka Watumishi wa umma nchini wanaoshughulika na Biashara waache kudhibiti Biashara bali wawezeshe Biashara. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Waziri Kitila amesema Serikali na Biashara zinahusiana sana na hakuna Biashara bila mkono wa Serikali.

Chanzo: millardayo.com