Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mfumuko wa bei washuka zaidi

Bei Nafaka Mazo Mfumuko Mfumuko wa bei washuka zaidi

Wed, 10 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfumuko wa bei nchini umezidi kushuka, ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) zinaonyesha Aprili ulikuwa asilimia 4.3 ikilinganishwa na Machi mwaka huu uliokuwa 4.7.

Hata hivyo, mwenendo huu unamaanisha kasi ya kubadilika kwa bei za bidhaa Aprili kulipungua ikilinganishwa na Machi ambapo kasi ya kubadilika kwa bei hizo ilikuwa juu.

Je, hali ya bei ya bidhaa ipoje eneo unaloishi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live