Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mfanyabiashara Kariakoo: Askari 'mpemba' ametusumbua sana

BIASHARA KARIAKOO Mfanyabiashara Kariakoo: Askari 'mpemba' ametusumbua sana

Wed, 17 May 2023 Chanzo: Jamii

Akiwasilisha kero kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mmoja wa Wafanyabiashara amesema, "Kuna Askari anaitwa Mpemba hapo Kamata amenipelekesha sana, pia kuna mwingine mweusi yuko hapohapo wanatupelekesha sana. Inashangaza sana Askari wanakusumbua kama vile TRA hadi unajiuliza kazi ya TRA inafanywa na Askari"

Ameendelea, "Kwa kuwa umesema tufunguke, niseme Nchi hii hadi Polisi ni wezi mno, hakuna wakati mgumu kufanya biashara kama wakati huu, tunaiwezesha Nchi lakini wanatukatisha tamaa

Ameongeza, "Tufanye mabadiliko makubwa ili twende mbele, mengine siwezi kusema hapa, nikiyasema watanikamata, nawajua hawa."

Chanzo: Jamii