Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meli ya kifahari yenye watalii zaidi ya 1,500 yawasili Zanzibar

Utalii Meli Zanzibar (600 X 230) Meli ya kifahari yenye watalii zaidi ya 1,500 yawasili Zanzibar

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Rahim Bhaloo ameongoza watendaji mbalimbali wa wizara ya Utalii katika mapokezi ya Meli kubwa ya Kitalii ya Zuiderdam iliyowasili leo visiwani Zanzibar ikiwa na watalii Zaidi ya 1,500

Rahim Bhaloo akiwa katika bandari ya Malindi Zanzibar wakati akipokea ugeni huo amesema ujio wa watlii hao si tu utanufaisha uchumi wa nchi bali pia utasaidia kuimarisha kipato cha mwananchi mmoja mmoja hasa kwa wale amabo wanafanya biashara za kitalii

Amesema wageni hao watatembezwa katika maeneo mbalimbali ya historia na viutio vya utalii Zanzibar

Chanzo: www.tanzaniaweb.live