Menu ›
Biashara
Wed, 14 Dec 2022
Chanzo: Jamii
Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 imeuzwa kwa Tsh. Mil 536.8.
Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya.
Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza hasara.
Mei 2021, Shirika la Meli Zanzibar lilitangaza kuuza Meli zake 3 za MV Maendeleo, MV Ukombozi na MV Mapinduzi II. Hatma ya MV Ukombozi na Mapinduzi II bado haijafahamika.
Chanzo: Jamii