Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meli mbili za uvuvi kufungwa kamera

Kampuni Ya Meli Ya Maersk Inajiandaa Kuruhusu Meli Bahari Ya Sham Meli mbili za uvuvi kufungwa kamera

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi na Bahari Kuu kwa kushirikiana na Mmiliki wa Meli mbili za kitanzania aina ya mishipi wamesaini mkataba wa Ushirikiano katika kuimarisha ulinzi kwenye meli za uvuvi hasa wavuvi wanapokwenda kufanya shughuli zao uvuvi kwenye Bahari kuu.

Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi na Bahari Kuu kwa kushirikiana na Mmiliki wa Meli mbili za kitanzania aina ya mishipi wamesaini mkataba wa Ushirikiano katika kuimarisha ulinzi kwenye meli za uvuvi hasa wavuvi wanapokwenda kufanya shughuli zao uvuvi kwenye Bahari kuu. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam mara Baada ya Utiaji saini wa mkataba huo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi na Bahari Kuu Dk. Emmanuel Sweke amesema Mkataba waliyousaini unakwenda kuimarisha ulinzi kwenye meli za uvuvi ikiwemo ufungaji wa camera kwenye meli ili kuona kila kitu kinachoendelea hasa wavuvi wanapokuwa baharini wakivua samaki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live