Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meli kubwa iliyobeba magari 4041 yawasili Dar- Video

Magari TPA.jpeg Meli kubwa iliyobeba magari 4041 yawasili Dar es Salaam

Fri, 8 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bandari ya Dar es Salaam imeweka rekodi ya kupokea meli kubwa yenye urefu wa mita 189.45 ikiwa na shehena ya magari 4,041 ikitoka Japan.

Kati ya magari hayo 2,936 yanakwenda nje ya nchi, Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Eric Hamissi amesema hayo ni matunda ya maboresho waliyofanya.

View this post on Instagram

A post shared by Tanzania Web (@tanzaniaweb)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live