Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbarawa: Tunaendelea kuiboresha ATCL

Atcl Pic Data 660x400.jpeg Mbarawa: Tunaendelea kuiboresha ATCL

Wed, 21 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema, Serikali imeagiza ndege nyingine aina ya Dash 8 ili kuliongezea uwezo zaidi Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) liweze kutoa huduma kwa ufanisi zaidi

Akitoa taarifa kuhusiana na ujio wa ndege mpya ya ATCL aina ya Boeing B787-8 Dreamliner iliyotua leo nchini, Profesa Mbarawa amesema ujio wa ndege hiyo hapo mwakani utawezasha shirika hilo kuwa na ndege 16 mpya na kwamba ndege yake moja ya zamani imeharibika

Amesema, lengo la Serikali ni kuhakikisha ndege hizo zinakuwa na mchango kwenye uchumi wa taifa kwa kuanzisha safari zenye tija na maslahi kwa umma na kuiletea nchi maendeleo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live