Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mauzo ya nje ya Afrika yapaa

Uchumi Kupanda Mauzo ya nje ya Afrika yapaa

Fri, 22 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema mauzo ya bidhaa kwenda nje ya nchi yameongezeka kwa zaidi ya asilimia 500 kutoka dola za kimarekani bilioni 1 (TZS trilioni 2.5) mwaka 2021 hadi dola bilioni 6 (TZS trilioni 15) mwaka 2023.

Waziri wa wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema mauzo ya bidhaa kwenda nje ya nchi yameongezeka kwa zaidi ya asilimia 500 kutoka dola za kimarekani bilioni 1 (TZS trilioni 2.5) mwaka 2021 hadi dola bilioni 6 (TZS trilioni 15) mwaka 2023. Ameyasema hayo leo wakati wa kupokea taarifa ya miezi 11 (Januari-Novemba) ya utendaji wa kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live