Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matumaini mapya kurejea huduma za Uber na Bolt

Images   2022 10 11T222903.jpeg Matumaini mapya kurejea huduma za Uber na Bolt

Wed, 12 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wananchi wapata matumaini mapya ya kurejea kwa Uber na Bolt, Latra wasema watalii wameathirika zaidi.

Latra wamefanya mkutano mkubwa kuwakutanisha wasafirishaji wa tax mtandao Uber, Bolt pamoja na makampuni mengine kuona ni namna gani wanarejesha huduma zao kama zamani na kuondoa fotafuti zilizopo.

Mkurugenzi wa Latra ambaye alifungua mkutano huyo alisema kwamba kusitishwa kwa huduma kwa kampuni hizo kumeathiri sekta ya utalii ndio maana wanafanya jitihada mbalimbali ili huduma zirejee.

Kwa upande wa Wananchi wamedai wao hawaoni kama huduma itarejea mapema kutokana na migongano ambao inaendelea na kuathiri watumiaji wa mwisho wa huduma hizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live