Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashirika ya umma yaombwa kuchangia Mfuko Mkuu wa Serikali

Uchumi Kupanda Mashirika ya umma yaombwa kuchangia Mfuko Mkuu wa Serikali

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Unapozungumzia mapato ya nchi unaangalia zaidi katika sehemu mbili (2) yaani una mapato ya kodi na mapato yasiyo ya kikodi, mapato yasiyo ya kikodi sisi tuna nafasi kubwa zaidi ya kusimamia kama ofisi ya Msajili wa Hazina kwa sababu yale ni magawio na fadia zinazotoka kwenye mashirika ya umma na kwenye uwekezaji wa serikali" -Mchechu

"Unapozungumzia mapato ya nchi unaangalia zaidi katika sehemu mbili (2) yaani una mapato ya kodi na mapato yasiyo ya kikodi, mapato yasiyo ya kikodi sisi tuna nafasi kubwa zaidi ya kusimamia kama ofisi ya Msajili wa Hazina kwa sababu yale ni magawio na fadia zinazotoka kwenye mashirika ya umma na kwenye uwekezaji wa serikali" -Mchechu Nehemiah Mchechu ambaye ni Msajili wa Hazina nchini amezungumza hayo Machi 12.2024 wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Msajili wa Hazina na Wakurugenzi wa Bodi za Taasisi ambazo serikali ina hisa chache, unaofanyika Kibaha Pwani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live