Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mapato kituo cha magufuli milioni 5.6/- kwa siku

Stendi Magufuliii Magufulii Mapato kituo cha magufuli milioni 5.6/- kwa siku

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MAPATO ya viingilio katika kituo kikuu cha mabasi yanayowenda mikoani na nje ya nchi kilichopo Mbezi kilichopewa jina la Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli, Dar es Salaam yameongezeka kutoka Sh 3, 400,000 kwa siku hadi Sh 5,6 00,000. - Meneja wa kituo hiko, Isihaka Waziri alisema ongezeko hilo ni matunda ya udhibiti wa upotevu wa mapato ulioanzishwa miezi mitano iliyopita kwa abiria au msindikizaji kulipa kiingilio kwa kutumia kadi. - Waziri alilieleza HabariLEO alisema kabla ya matumizi ya kadi kwa siku. Kituo hicho kilikuwa kikikusanya kati ya Sh 3,000,000 hadi 3,400,000 kwa siku lakini sasa wanakusanya 5,000,000 hadi 5,600,000. - Alisema kwa yeyote mwenye kadi ambayo inatumika katika malipo mengine ataweza kuitumia na kwa ambaye hana atalipa na kupewa kadi ambayo ataitumia na kuiacha kwa ajili ya wengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live