Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mambo ni buli buli uwekezaji viwanda Pwani

Viwanda Owani Uwekezaji.png Mambo ni buli buli uwekezaji viwanda Pwani

Tue, 20 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania inatarajia kuingiza Dola za Marekani Milioni 148 ambazo ni karibu Sh bilioni 352.2, mara baada ya kukamilika ujenzi wa viwanda viwili vya kigeni kutoka China. - Viwanda hivyo ni Saphier Glass na Keda Glass Factory, ambapo kila kiwanda asilimia 25 ya uzalishaji wake utakuwa kwa ajili ya soko la ndani huku asilimia 75 zitauzwa soko la nje. - Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Uwekezaji Dk. Tausi Kida, katika ziara yake kutembelea miradi ya kimkakati Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, ambapo amesema zaidi ya asilimia 80 ya malighafi zitakazotumika zitatoka nchini. - Pia amesema ajira 7,000 zitazalishwa kutoka katika kila kiwanda pale ujenzi utakapokamilika, ambapo hadi sasa zaidi ya watu 850 wameshaajiriwa kupitia ujenzi unaoendelea kupitia viwanda hivyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live