Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Malawi yasitisha kuuza mahindi nje, Balozi Polepole aeleza

Screenshot 20220620 175735 Twitter (1) Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Polepole

Mon, 20 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ubalozi wa Tanzania Nchini Malawi umesema kuwa Serikali ya Malawi imesitisha kuuzwa kwa Mahindi nje ya nchi kutokana na mashaka ya kuwa na upungufu wa chakula.

Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatatu Juni 20,2022 na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Humphrey Polepole kwenda kwa wafanyabiashara wa mazao ya wa Tanzania.

Balozi Polepole amesema Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi unafuatilia suala hili kwa karibu huku ukiwataka Wafanyabiashara kusitisha mpango wa kununua mahindi nchini malawi mpaka Ubalozi utakapotoa taarifa nyingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live