Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki Manfredo Fanti.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki Manfredo Fanti. Mazungumzo yameofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam hii leo tarehe Februari 22, 2023 ambapo kesho Februari 23, 2023 huku Dk. Mpango akitarajia kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya, litakalofanyika uukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.