Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makampuni 49 yameidhinishwa na China kuuza Maharage China

C626b7bc308ce17101f46f8d137310d4 660x400.jpeg Makampuni 49 yameidhinishwa na China kuuza Maharage China

Sun, 25 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Makampuni 49 ya Kitanzania yameidhinishwa na Mamlaka ya Forodha Nchini China ili kuuza Maharage ya Soya (Soya Beans) kutoka Tanzania kwenda Nchini China.

Taarifa iliyotolewa na Mbelwa Kairuki, Balozi wa Tanzania Nchini China alipofanya mawasiliano na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa njia ya mtandao imesema kuwa mafanikio ya hatua hizi ni matokeo ya mkataba uliosainiwa baina ya nchi ya Tanzania na China mwezi Oktoba, 2020 ambapo Nchi ya China iliruhusu Nchi ya Tanzania kusafirisha bidhaa hiyo.

Chanzo: millardayo.com