Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magari yote China yatatumia umeme ifikapo 2019

2617 Nissan Leaf 827x510 51459062637 660x400

Mon, 5 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Kampuni ya Nissan kutengeneza magari Japan imepanga kuwekeza zaidi mabilioni ya fedha kwenye mradi wake wa kutengeneza magari yanayotumia umeme nchini China mwaka 2019 kutokana na kuongezeka kwa Teknolojia.

Kampuni hiyo imetangaza leo Jumatatu February 5, 2018 kuwa wanategemea kuwekeza Dola za Marekani Bilion 9. 5 sawa na Tshs Trilioni 22.8 kwa ajili ya mradi huo na kuongeza mauzo yake ya mwaka kwa magari Milioni 1 ya umeme.

Jumla ya magari ya umeme ambayo yaliuzwa China kwa mwaka jana yalikuwa Milioni 1.5 na lengo ni kuwa ifikapo mwaka 2025 China nzima itumie magari ya umeme.

MBOSSO DAY: “Nishachoka kuwekwa sub” (TUACHANE)

“Kauli zetu zinaweza zisiifurahishe Serikali, hili ni tatizo kubwa” –Hussein Bashe



g

Chanzo: millardayo.com