Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magari yenye CC 1,000 kutozwa ushuru asilimia 5

Car Cc Car Magari yenye CC 1,000 kutozwa ushuru asilimia 5

Fri, 16 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaanza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia tano kwenye magari yenye uwezo wa injini (Engine Capacity) wa kati ya 1,000 CC hadi 2,000CC.

“Ushuru huo utatozwa ili kuwianisha na magari mengine yenye ukubwa unaofanana. Magari hayo ni yale yanayotambuliwa kwenye H.S Codes 8703.40.00, 8703.50.00, 8703.60.00 na 8703.70.00,”amesema

Dk Nchemba ameyasema hayo leo Alhamis Juni 15, 2023 akiwasilisha hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka wa fedha 2023/2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live