Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magari ya mizigo kutozwa ada ya usafi hadi TZS 50,000 kwa siku Ubungo

Q1Sm1maI Magari ya mizigo kutozwa ada ya usafi hadi TZS 50,000 kwa siku Ubungo

Tue, 18 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo mkoani Dar es Salaam imetangaza viwango vya kibuli cha usafi wa maingira kwa magari yote yenye uzito kuanzia tani 0.5 yanayoingia kwenye manispaa hiyo kupakia au kushusha mizigo.

Viwango vya malipo hayo ni kulingana na ukubwa wa gari ambapo vinaanzia Shilingi 3,000 hadi 50,000.

Aidha taarifa hiyo imeeleza adhabu ya kutolipa ada hiyo kuwa ni kati ya hilingi 300,000 hadi 1,000,000 au kifungo cha miezi sita au vyote kwa pamoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live