Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Madini ya Nikel sasa rasmi kuchimbwa

3de525cb9039c8739a41af00dec0954c Madini ya Nikel sasa rasmi kuchimbwa

Mon, 18 Jan 2021 Chanzo: habarileo.co.tz

Rais John Magufuli kesho kutwa atashuhudia utiaji saini wa kuanza kwa mradi wa uchimbaji wa madini ya Nikel wilayani Ngara, madini hayo yanapatikana katika eneo la Kabanga.

Rais John Magufuli kesho kutwa atashuhudia utiaji saini wa kuanza kwa mradi wa uchimbaji wa madini ya Nikel wilayani Ngara, madini hayo yanapatikana katika eneo la Kabanga. Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abbasi amesema serikali kwa sasa ipo kazini na inaendelea na kazi kubwa ya utatuzi wa kero za wananchi huku akibainisha miradi yote mikubwa nchini kama vile Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) inaendelea vema.

Chanzo: habarileo.co.tz