Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mabasi ya Royal Africa Luxury yaanza safari Dar kwenda Sauzi

ROYAL MKL Royal Africa Luxury

Mon, 13 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bus la Kampuni ya Royal Africa Luxury la Zambia limeanza rasmi safari zake za Dar es Salaam nchini Tanzania hadi Johannesburg nchini Afrika Kusini baada ya kuwasili jana usiku katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichopo Mbezi likitokea Kitwe nchini Zambia.

Bus la Kampuni ya Royal Africa Luxury la Zambia limeanza rasmi safari zake za Dar es Salaam nchini Tanzania hadi Johannesburg nchini Afrika Kusini baada ya kuwasili jana usiku katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichopo Mbezi likitokea Kitwe nchini Zambia. Basi hilo lenye namba za usajili AJE 6880 linatarajiwa kuanza safari hizo ambazo zinatarajiwa kuwa na umbali wa kilometa 3412 na litachukua siku 4 na nusu kwa safari moja ama zaidi ya saa 50.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live