Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mabasi ya Mwendo Kasi yanazidi kuongezwa, 70 yalivyoshushwa Bandarini leo

3433 Mabasi DART 660x400

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 16, 2018 Kampuni ya Magari yaendayo haraka (UDART) imepokea mabasi mapya 70 yenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 100 tofauti na magari ya awali yaliyoletwa katika awamu ya kwanza ambayo yana uwezo wa kubeba abiria wasiozidi mia.

Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya magari yaendayo haraka UDART Charles Nawe amesema mabasi hayo yataendelea na safari za barabara zilizopo hadi pale watakapoanzisha nyingine.



Polisi DSM, kuhusu Kiongozi wa CHADEMA aliyenyongwa



 

Chanzo: millardayo.com