Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maajabu ya magari ya bilionea Elon Musk

Tesla Model X 100777013 L Maajabu ya magari ya bilionea Elon Musk

Tue, 30 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kapmuni ya magari ya Tesla inayomilikiwa na Tajiri namba moja duniani Elon Musk, Ndio kampuni ya kwanza kuwa na magari ya umeme lakini pia yenye uwezo wa kujiendesha lenyewe bila ya dereva kuendesha.

Gari hili hutumia teknologia ya “GPRS” kujiongosha Pamoja na “sensor” zilizowekwa ili lisigonge mbele wala nyuma.

Usichokijua kuhusu gari hili ni kuwa halitumi funguo kama gari zingine bali hutumia kadi kufunga na kufungua milango hata kuwasha gari vilevile unaweza kucheza gemu mbalimbali ukiwa ndani ya gari hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live