Zaidi ya kilo 800 za korosho chafu zimekamatwa zikiingizwa kinyemela kwenye Chama cha Msingi Kitandi wilayani Nachingwea, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mohamed Moyo ameagiza korosho hizo zitaifishwe na wahusika wasakwe na kukamatwa mara moja.
Zaidi ya kilo 800 za korosho chafu zimekamatwa zikiingizwa kinyemela kwenye Chama cha Msingi Kitandi wilayani Nachingwea, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mohamed Moyo ameagiza korosho hizo zitaifishwe na wahusika wasakwe na kukamatwa mara moja. Je unafikiri nini kifanyike ili kutokomeza matukio kama haya ya kuchanganya bidhaa zisizo na ubora nchini?