Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiwanda kipya cha sukari kukamilika Julai

Sukari Zanzibar Kiwanda kipya cha sukari kukamilika Julai

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali imesema inatarajia kukamilisha ujenzi wa kiwanda kipya cha sukari (K4) katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro chenye thamani ya Tsh. bilioni 600 ifikapo mwezi July mwaka huu ili kuongeza uzalishaji wa sukari Nchini.

Serikali imesema inatarajia kukamilisha ujenzi wa kiwanda kipya cha sukari (K4) katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro chenye thamani ya Tsh. bilioni 600 ifikapo mwezi July mwaka huu ili kuongeza uzalishaji wa sukari Nchini. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dustan Kyobya amesema kiwanda hicho ambacho kwa sasa kimefikia 70% kitakuwa na uwezo wa kuzalizha tani 272 kwa mwaka na hivyo miwa yote ambayo ilikuwa na changamoto ya kununuliwa sababu ya kukosa soko itanunuliwa yote kwa wakati mmoja ambapo amesema Wilaya hiyo inaongoza kwa uzalishaji miwa na wana viwanda viwili K1 na K4 ambacho kinakamilika July.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live