Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kitila ataka Watazania kuwekeza zaidi

Kitila Pc Data Kitila ataka Watazania kuwekeza zaidi

Mon, 25 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Kuna dhana wakati mwingine tunadhani tukizungumzia uwekezaji ni watu kutoka nje lakini ukweli ni kwamba takwimu zinatuambia uwekezaji mwingi, miradi mingi ni ya Watanzania, asilimia 45 ya miradi yote ya uwekezaji nchi hii ni Watanzania, wageni ni asilimia 29 na miradi ya ubia ni asilimia 26, hii ni taarifa njema sana kwa sababu baadhi ya watu wanakuwa na dhana kwamba pengine tukizungumzia uwekezaji tutazungumzia kuvutia tu watu wa nje lakini tunataka kuona watu wetu wa Tanzania wanawekeza, na kwa kwakweli wanawekeza na taarifa hizi mpya ambazo zimetoka juzi za hii robo ya mwisho zimeonesha kwamba Watanzania wanazidi kuchangamkia kwenye kuwekeza, na tumetoka juzi kwenye kufungua ile Hati fungani ya NMB asilimia 99.9 ya walionunua ni Watanzania kwa hivyo nichukue nafasi hii kwakweli kwa niaba ya Serikali kuwashukuru na kuwapongeza sana Watanzania kwa jinsi ambavyo wameanza kuchangamkia fursa mbalimbali" -Prof. Kitila

"Kuna dhana wakati mwingine tunadhani tukizungumzia uwekezaji ni watu kutoka nje lakini ukweli ni kwamba takwimu zinatuambia uwekezaji mwingi, miradi mingi ni ya Watanzania, asilimia 45 ya miradi yote ya uwekezaji nchi hii ni Watanzania, wageni ni asilimia 29 na miradi ya ubia ni asilimia 26, hii ni taarifa njema sana kwa sababu baadhi ya watu wanakuwa na dhana kwamba pengine tukizungumzia uwekezaji tutazungumzia kuvutia tu watu wa nje lakini tunataka kuona watu wetu wa Tanzania wanawekeza, na kwa kwakweli wanawekeza na taarifa hizi mpya ambazo zimetoka juzi za hii robo ya mwisho zimeonesha kwamba Watanzania wanazidi kuchangamkia kwenye kuwekeza, na tumetoka juzi kwenye kufungua ile Hati fungani ya NMB asilimia 99.9 ya walionunua ni Watanzania kwa hivyo nichukue nafasi hii kwakweli kwa niaba ya Serikali kuwashukuru na kuwapongeza sana Watanzania kwa jinsi ambavyo wameanza kuchangamkia fursa mbalimbali" -Prof. Kitila Prof. Kitila Mkumbo ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji amezungumza hayo wakati akifungua Bodi ya Wadhamini ya Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) hivi karibuni

Chanzo: www.tanzaniaweb.live