Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenya yakimbia kuwekeza Tanzania, Uganda yaangukia huku....

Kenya Uwekrezaji.png Kenya yakimbia kuwekeza Tanzania, Uganda yaangukia huku....

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ethiopia imezipita Tanzania na Uganda kama kivutio kikuu cha uwekezaji wa kigeni wa Kenya baada ya biashara kati ya mataifa hayo mawili kuongezeka katika tathmini ya robo ya kwanza ya mwaka 2023.

Takwimu mpya za uwekezaji zimeonesha kuwa uwekezaji wa moja kwa moja wa Kenya nchini Ethiopia umefikia Ksh bilioni 60.2 ($440.7 milioni) mwaka 2021, ambao ni zaidi ya ule wa Ksh bilioni 51.5 ($377 milioni) kwa Tanzania na Ksh bilioni 56.3 ($412 milioni) kwa Uganda.

Ingawa Tanzania ilikuwa kivutio kikuu cha uwekezaji wa kigeni kwa Kenya mwanzoni mwa 2015, Utafiti wa Kiuchumi wa 2023 uliotolewa hivi majuzi unaonyesha kuwa Kenya sasa inawekeza zaidi Addis Ababa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live