Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kariakoo yasafishwa!

Kariakoo Kariakoo Wafutwa.png Kariakoo yasafishwa!

Wed, 2 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

WAFANYABIASHAR ndogo ndogo maarufu kama Wamachinga, wanaopanga bidhaa zao maeneo yasiyoruhusiwa, ikiwemo pembezoni mwa barabara katika maeneo mbalimbali ya mitaa ya Kariakoo, Dar es Salaam wameondolewa leo, ikiwa ni kampeni ya kusafisha jiji hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live