Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kampuni za gesi Ulaya kutii masharti ya malipo Urusi

E08F91E0 A66D 4A6B 97B2 6FAAFC5632DD 660x400.jpeg Kampuni za gesi Ulaya kutii masharti ya malipo Urusi

Fri, 29 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya makampuni makubwa ya nishati barani Ulaya yanapanga kutumia mfumo mpya wa malipo kwa usambazaji wa gesi ya Urusi uliopendekezwa na Kremlin gazeti la Financial Times liripoti siku ya Alhamisi.

Vyanzo vya habari vililiambia gazeti hilo kuwa wasambazaji wa gesi nchini Ujerumani, Austria, Hungary na Slovakia wanapanga kufungua akaunti za ruble katika benki ya Gazprombank nchini Uswizi.

Walisema kuwa mazungumzo kati ya wanunuzi wa Uropa na wasambazaji wa gesi wa Urusi Gazprom yameongezeka kadri muda wa malipo unavyokaribia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live