Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT - Tanzania) Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema kampuni tanzu za Jeshi la Kujenga Taifa ikiwepo SUMA - JKT zitaendelea kushiriki katika shughuli za uzalishaji, kutoa huduma kwa jamii na kutoa gawio kwa serikali ili
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT - Tanzania) Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema kampuni tanzu za Jeshi la Kujenga Taifa ikiwepo SUMA - JKT zitaendelea kushiriki katika shughuli za uzalishaji, kutoa huduma kwa jamii na kutoa gawio kwa serikali ili Meja Jenerali Mabele amesema hayo Julai 14, 2022 Jijini Dar es salaam wakati akikabidhi vitendea kazi yakiwemo magari na pikipiki kwa kampuni SUMA - JKT na kuwataka waongeze weledi katika majukumu yao.