Kampuni inayojishughulisha na kilimo cha Vanilla nchini, Vanilla International Limited, imeanzisha mradi wa mashamba ya vanilla ‘Vanilla Village’ nchini Kenya, eneo la Mombasa baada ya kupokea maombi mengi kutoka nchini humo. - Mradi huo umefunguliwa na Mkurugenzi wa kapuni hiyo, Simon Mnkondya, na kuwapongeza wananchi wa Kenya kwa kutambua utajiri uliojificha katika uwekezaji katika kilimo cha vanilla. - Mnkondya alisema amefanya uamuzi huo, baada ya Wakenya wengi kuonyesha uhitaji mkubwa wa kuwekeza katika kilimo cha Vanilla, na kuvutiwa na mradi wa Tanzania, ambao unamashamba katika mikoa ya Arusha, Zanzibar na Vanilla Village Dodoma.